shule inafundisha somo la Basic Mathematics kwa madarasa yote Matano Pre form one, Form One, Form Two, Form Three na Form Four
Sambamba na hilo shule ina waalimu bora kabisa wenye uwezo mkubwa wa kufundisha Basic Mathematics kwa vidato vyote.
Somo la physics linafundishwa kwa vidato vyote. Pre form one, Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa kwa vitendo na kufanyiwa mitihani yote ya taifa. pia waalimu wanofundisha Physics ni wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili.
Somo la Chemistry linafundishwa kwa vidato vyote. Pre form one, Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa kwa vitendo na kufanyiwa mitihani yote ya taifa. pia waalimu wanofundisha Chemistry ni wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili.
Somo la Biology linafundishwa kwa vidato vyote. Pre form one, Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa kwa vitendo na kufanyiwa mitihani yote ya taifa. pia waalimu wanofundisha Biology ni wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili kwa vitendo.
Somo la Kiswahili linafundishwa kwa vidato vyote. Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa na waalimu wenye uzoefu na tajiriba katika Somo hili .
Somo la english linafundishwa kwa vidato vyote. Pre form one, Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa kwaajili ya kuwajenga wanafunzi kuwa na uwezo mkubwa kuongea na kuandika katika lugha ya kiingereza. pia waalimu wanofundisha English ni wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili.
Somo hili linafundishwa na waalimu wenye uzoefu na uwezo mkubwa na kuwafanya wanafunzi wawe na uwelewa mkubwa juu ya Historia ya Dunia Nzima.
Somo la Geography linafundishwa kwa vidato vyote vinne. Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa na waalimu wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili.
Walimu wenye uwezo mkubwa wanafundisha somo hili ili kuwafanya wanafunzi kuujua Uraia wa Nchi zao na Nchi nyingine Duniani pamoja na mambo yote yanayotokea Duniani
Somo la Computer linafundishwa kwa vitendo kuanzia kidato cha kwanza hadi cha Nne ili kuwafanya wanafunzi kuwa na uwezo mzuri kutumia kompyuta katika mawasiliano na kutengeneza vitu mbali mbali kama kalenda, matangazo n.k
Somo la Literature in english linafundishwa kwa vidato viwili. Form Three na Form Four Kwa wanafunzi wao wenyewe kuchagua.Somo hili hufundishwa kwaajili ya kuwajenga wanafunzi kuwa na uwezo mkubwa kuongea na kuandika katika lugha ya kiingereza.
Somo hili linafundishwa na waalimu wenye uzoefu na uwezo mkubwa na kuwafanya wanafunzi wawe na uwelewa mkubwa juu ya Neno la Mungu ili kuwafanya kuishi katika misingi ya Kiimani na kumjua Mungu.
Somo hili linafundishwa kwa vidato vyote vinne.Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa na waalimu wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili ili kuwajengea wanafunzi uelewa na uwezo juu ya Biashara.
Somo hili linafundishwa kwa vidato vyote vinne.Form One, Form Two, Form Three na Form Four. Pia somo hili hufundishwa na waalimu wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa hali ya juu katika Somo hili ili kuwajengea wanafunzi uelewa na uwezo juu ya Biashara.