MICHAUD GIRLS SECONDARY SCHOOL:-      Ni shule ya Bweni ya Wasichana, iliyopo wilayani Karatu Mkoa wa Arusha. Shule inamilikiwa na watawa( Masista) wa Shilika la Mabinti wa Maria lenye Makao Makuu Yake Kipalapala Mkoa Wa Tabora
       Shule ilianzishwa Januari Mwaka 2016, Ikifanikiwa kuwa nawanafunzi 16. na walimu 5.
        Hadi sasa shule imefanikiwa kuongeza idadi ya wanafunzi kwa kiwangu kikubwa kama inavyo onekana kwenye jedwari na hii ni kutokana na ufaulu mkubwa wa wanafunzi unao changiwa kwa kiasi kikubwa na umahili wa walimu na uongozi wa shule kwa ujumla tokea kuanzishwa kwake.
Kwasasa shule iko chini ya Sista Lucia Wande kama mkuu wa shule,shule ina waalimu 20 pamoja na wafanyakazi wasio waalimu 12,
Shule ina malengo ya kuwa na wanafunzi 480 hadi kufikia mwaka 2025
Mkuu Wa shule     |    -  Sr Lucia Wande | |
Makamu Mkuu Wa Shule |     -  Mwl Dioniz Kitambara | |
Mtaaluma |     -  Mwl Daniel Kabigili | |
Mtaaluma |    -  Mwl Frank Haruna |